Christian Bwaya · Julai, 2014

Ninajivunia kuwa Mwafrika niliyezaliwa katika nchi isiyounganishwa na lugha za wakoloni bali Kiswahili. Kwa hivyo, pamoja na majukumu mengine, ninaamini kwa dhati kabisa kuwa kuchangia ukuaji wa Kiswahili mtandaoni ni wajibu wangu wa kimsingi ili kuwawezesha wazungumzaji wa Kiswahili kujielimisha na kuhabarishwa kwa njia ya mtandao wa intaneti.

Anwani ya Barua Pepe Christian Bwaya

makala mpya zaidi zilizoandikwa na Christian Bwaya kutoka Julai, 2014

Honduras Yazalisha Ajira kwa Kuhamasisha Shughuli za Jamii

Alama ya Utambulisho wa Kompyuta ya Serikali ya Urusi Yakamatwa Ikihariri Makala ya Wikipedia ya Ndege ya MH17

Highway Africa 2014 Yasogeza Mbele Tarehe ya Mwisho ya Kujiandikisha

Sababu za Kusafiri Mara Moja Moja

Hotuba ya Ushindi ya Rais Mteule wa Indonesia

PICHA: Wapelestina Wanatufundisha Namna ya Kuishi

Dunia Yatwiti Kuwatetea Wanablogu wa ki-Ethiopia Waliokamatwa Julai 31

Unagana na wanablogu wa Global Voices katika zoezi la kutwiti litakalofanyika duniani kote kwa lugha tofauti kuwatetea wanablogu na wanaandishi wa habari wanaokabiliwa na mashtaka...

Picha za Mabaki ya Ndege ya Shirika la Algeria AH5017 Nchini Mali Yaonyesha Ghasia, Kuanguka kwa Ghafla

Picha: Mwonekano wa Maroketi Yakiruka Kwenye Anga la Gaza Kutoka Angani

Tafakuri Baada ya Kombe la Dunia la FIFA 2014 Nchini Brazili