makala mpya zaidi zilizoandikwa na Mghosya kutoka Mei, 2009
Saudi Arabia: Je, mafua ya nguruwe yatatishia Hija?
Kila mwaka mamilioni ya Waislamu hukusanyikia Maka kuhiji, moja ya nguzo tano za Uislamu. Je, msimu wa hija ya mwaka huu utatishiwa na homa ya mafua ya nguruwe? Wanablogu wanayo maoni ya kusema.