makala mpya zaidi zilizoandikwa na Mghosya kutoka Septemba, 2015
Ni Zaidi ya Wanablogu wa Zone9: Wa-Ethiopia Wengine Watumiao Intaneti Wakabiliwa na Mashtaka ya Ugaidi
Sambamba na kesi maarufu sasa ya wablogu wa Zone9, kuna wanablogu, wanaharakati wa mtandaoni na wanasiasa wengine wengi wa ki-Ethiopia waliowekwa ndani ingawa majina yao bado hayajatajwa. Mwaka uliopita mnamo Julai 8, 2014, Serikali ya Ethiopia iliwakamata viongozi kadhaa wa upinzani, wanablogu, wanaharakati wa mtandaoni na raia kadhaa wanaoguswa na mwenendo...