makala mpya zaidi zilizoandikwa na Mghosya kutoka Agosti, 2017
Jiandikishe Sasa kwa Mkutano Mkuu wa Global Voices 2017: Desemba 2-3 Jijini Colombo, Sri Lanka!
Mkutano Mkuu wa Global Voices 2017 umefunguliwa kwa ajili ya uandikishaji! Ungana nasi jijini Colombo kujadili hali ya uhuru wa mtandao, harakati za kiraia mtandaoni na haki kwenye zama za kidijitali.