makala mpya zaidi zilizoandikwa na Mghosya kutoka Juni, 2016
Watu Wasiopungua 42 Wafariki Dunia Kufuatia Shambulio la Uwanja wa Ndege Istanbul
Serikali inawalaumu magaidi wa ISIS kwa shambulio hilo. Wananchi na hoteli za miji mikuu nchini Uturuki zimewakaribisha wasafiri waliokwamba kufuatia mashambulio hayo
Raia Mwingine wa Tanzania Asomewa Mashtaka kwa Ujumbe wa Whatsapp ‘Unaomtukana’ Rais

Mulokozi ni mhanga mwingine wa Sheria ya Makosa ya Jinai nchini Tanzania, inayojaribu kukabiliana na masuala kama picha za ngono kwa watoto, udhalilishaji wa mtandao, matumizi mabaya ya taarifa binafsi za watu na kuchapisha taarifa za uongo.
Wa-Belarusi Waamua Kuchapa Kazi Wakiwa Uchi (Kutii Wito wa Rais)

Watumiaji wa mtandao nchini Belarusi wamekuwa wakivua nguo wakiwa makazini, baada ya kusikiliza hotuba ya Rais Lukashenka.
Wa-Japan Walivyo na Mapenzi kwa Kapibara, Wanyama wenye Sura ya Panya Buku
Nchini Japan, inaonekana kuna utamaduni wa mtandaoni wa kuwapenda kapibara, wanyama wakubwa kama panya buku wenye asili ya Marekani ya Kusini
Du! Kosa la Facebook Kugeuza Bendera ya Ufilipino Laifanya Nchi Ionekane iko kwenye ‘Hali ya Vita’
"Jamani @facebook: Bendera ionekane hivi na iwe Siku ya Uhuru. Kweli? ."
Mwanaume wa Tanzania Ahukumiwa Kifungo cha Miaka Mitatu Jela kwa “Kumtukana” Rais kwenye Mtandao wa Facebook

Hukumu hii inakuja baada ya Sheria ya Makosa ya Jinai ya Tanzania kupitishwa mwaka 2015, ambayo wakosoaji wengi wanasema inawapa polisi mamlaka makubwa bila udhibiti wowote
Ubaguzi wa India kwa Waafrika Waibuka Tena Baada ya m-Kongo Kuuawa kwa Kupigwa
Sema, "India inakupenda," kwa wa-Islamu, wa-Daliti, wa-afrika, wasio na dini...na kisha rudi ukawapige makofi?
Namna Posti ya Blogu Ilivyobadilisha Maisha ya Mama wa ki-Somali Mwenye Watoto Nane
Wasomaji waguswa na habari na kuchanga zaidi ya dola za Marekani 4,000 ndani ya siku moja
Matangazo ya Sauti ya ‘Wiki Ilivyokwenda’ Global Voices: Mashujaa Wasiofahamika
Wiki hii, tunaelekea hadi Bosnia na Herzegovina, Japan na Myanmar