makala mpya zaidi zilizoandikwa na Mghosya kutoka Agosti, 2010
Afrika Kusini: Wanablogu Wajadili Hukumu ya Mkuu wa Zamani wa Jeshi la Polisi
Siku ya ijumaa tarehe 2 Julai 2010, aliyekuwa mkuu wa polisi na rais wa zamani wa Shirika la Kimataifa la Polisi (Interpol) Jack Selebi alihukumiwa kwa kosa la rushwa. Hukumu hiyo imezua mdahalo nchini na kadhalika imeacha maswali mengi yasiyo na majibu.