Christian Bwaya · Machi, 2012
- Oktoba 2019 1 ujumbe
- Februari 2019 1 ujumbe
- Julai 2018 1 ujumbe
- Juni 2018 2 jumbe
- Mei 2018 1 ujumbe
- Agosti 2017 1 ujumbe
- Julai 2017 4 jumbe
- Juni 2017 1 ujumbe
- Mei 2017 2 jumbe
- Aprili 2017 1 ujumbe
- Machi 2017 8 jumbe
- Februari 2017 5 jumbe
- Januari 2017 5 jumbe
- Disemba 2016 2 jumbe
- Novemba 2016 7 jumbe
- Oktoba 2016 11 jumbe
- Septemba 2016 4 jumbe
- Agosti 2016 1 ujumbe
- Julai 2016 9 jumbe
- Juni 2016 9 jumbe
- Mei 2016 5 jumbe
- Aprili 2016 7 jumbe
- Machi 2016 6 jumbe
- Februari 2016 1 ujumbe
- Disemba 2015 1 ujumbe
- Novemba 2015 6 jumbe
- Oktoba 2015 5 jumbe
- Septemba 2015 1 ujumbe
- Juni 2015 10 jumbe
- Mei 2015 10 jumbe
- Aprili 2015 25 jumbe
- Machi 2015 2 jumbe
- Februari 2015 19 jumbe
- Januari 2015 4 jumbe
- Novemba 2014 6 jumbe
- Oktoba 2014 19 jumbe
- Septemba 2014 21 jumbe
- Agosti 2014 1 ujumbe
- Julai 2014 43 jumbe
- Juni 2014 15 jumbe
- Mei 2014 23 jumbe
- Aprili 2014 44 jumbe
- Machi 2014 57 jumbe
- Februari 2014 34 jumbe
- Januari 2014 6 jumbe
- Disemba 2013 7 jumbe
- Novemba 2013 4 jumbe
- Oktoba 2013 26 jumbe
- Septemba 2013 18 jumbe
- Agosti 2013 2 jumbe
- Julai 2013 12 jumbe
- Juni 2013 5 jumbe
- Mei 2013 20 jumbe
- Aprili 2013 7 jumbe
- Machi 2013 1 ujumbe
- Februari 2013 4 jumbe
- Januari 2013 12 jumbe
- Disemba 2012 14 jumbe
- Oktoba 2012 14 jumbe
- Septemba 2012 2 jumbe
- Julai 2012 10 jumbe
- Juni 2012 11 jumbe
- Mei 2012 1 ujumbe
- Aprili 2012 14 jumbe
- Machi 2012 7 jumbe
- Januari 2012 6 jumbe
- Disemba 2011 12 jumbe
- Aprili 2011 11 jumbe
- Januari 2011 7 jumbe
- Agosti 2010 1 ujumbe
- Julai 2010 1 ujumbe
- Februari 2010 14 jumbe
- Disemba 2009 15 jumbe
- Novemba 2009 8 jumbe
- Oktoba 2009 8 jumbe
- Agosti 2009 1 ujumbe
- Julai 2009 8 jumbe
- Juni 2009 1 ujumbe
- Mei 2009 1 ujumbe
- Julai 2008 1 ujumbe
Ninajivunia kuwa Mwafrika niliyezaliwa katika nchi isiyounganishwa na lugha za wakoloni bali Kiswahili. Kwa hivyo, pamoja na majukumu mengine, ninaamini kwa dhati kabisa kuwa kuchangia ukuaji wa Kiswahili mtandaoni ni wajibu wangu wa kimsingi ili kuwawezesha wazungumzaji wa Kiswahili kujielimisha na kuhabarishwa kwa njia ya mtandao wa intaneti.

makala mpya zaidi zilizoandikwa na Christian Bwaya kutoka Machi, 2012
Zambia: Ban Ki-Moon atoa wito kwa taifa kuheshimu haki za mashoga
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon aliitembelea Zambia mnamo Februari 21; ambapo alilihutubia bunge, alikutana wanasiasa maarufu na kutembelea Maporoko ya Viktoria, hakuna...
Dondoo za Video: Utetezi wa haki za binadamu
Kuna masimulizi kusisimua katika siku za hivi karibuni kwenye tovuti ya Global Voices Video za Utetezi ikiwa ni pamoja na haki za wananchi wenyeji na...
Iran: Wanawake wapinga ‘Jinamizi la Vita’
Utawala wa Kiislamu wa Iran umepuuza Siku ya Wanawake Duniani kwa zaidi ya miongo mitatu. Utawala huo hauitambui siku ya Machi 8, na umepiga marufuku...
Korea Kusini: Wahudumu wa ndege wapigania haki ya kuvaa suruali
Katika Siku ya Wanawake Duniani, wahudumu wa moja ya mashirika makubwa ya ndege nchini Korea Kusini, waliitisha mkutano na waandishi wa habari mbele ya makao...
Palestina: Gaza yashambuliwa, watu 12 wauwawa na wengine wengi kujeruhiwa
Usiku kucha wa tarehe 9 Machi na asubuhi ya Machi 10, ndege za kivita za Israel zilishambulia maeneo maalumu katika Ukanda wa Gaza, na kuua...
Iran: Wachora katuni ‘wamkalia kooni’ Khatami kwa kupiga kura
Mohammad Khatami, aliyekuwa Rais mwanamageuzi wa Irani, Ijumaa ya tarehe 2 Machi, 2012 alipiga kura katika uchaguzi wa wabunge. Kitendo hicho kilikinzana na kauli aliyopata...
Amerika Kusini: Waathirika wa ‘biashara’ ya kukuza matiti waingia mtandaoni
Wanawake wengi wameungana kwenye tovuti za kijamii kusema wanachofikiri na kubadilishana taarifa kuhusu matatizo yanayosababishwa na viini vya kukuzia matiti. Wakati huohuo wanapanga hatua gani...