makala mpya zaidi zilizoandikwa na Mghosya kutoka Februari, 2017
Waafrika Kusini Wanasimuliana Mambo ya Kuchekesha Waliyoyaamini Utotoni
"Kama mtu akikuruka kwa mguu juu yako, hutarefuka mpaka aondoe mruko wake"
Unaweza kupendekeza Washindani wa Tuzo za Blogu Kenya 2017
Tuzo za Blogu Kenya sasa zinapokea mapendekezo kwa ajili ya shindano la mwaka huu. Mapendekezo yanakaribishwa mpaka Machi 10. Wanablogu na mashabiki wanaweza kutuma mapendelezo yao kwa makundi mbalimbali ya ushindani.
Kikundi cha ki-Islam Chadai Kuondolewa kwa Sanamu Mbele ya Mahakama Kuu Nchini Bangladesh
Mamlaka zimepewa chini ya juma moja kufanyia kazi madai ambayo wakuu wa serikali na watumiaji wa wanayaona kama hayana maana
Shindano Dansi la Rais wa Kenya Lakwama Baada ya Wakosoaji Kuliita Dansi ya Aibu
"Wa-Kenya wanateseka na ukame huu na eti tunaombwa tucheze dab #DabYaAibu"
Serikali ya Kenya Yadaiwa Kuwalipa Watumiaji Maarufu wa Mtandao ya Kijamii Kutangaza Habari za “MadaktariWalafi”

Kadri madai ya kuingiliwa kwa mitandao ya kijamii yakiongezeka, viongozi saba wa Chama cha Madaktari nchini Kenya wamehukumiwa kifungo kwa kushindwa kuzima mgomo huo unaoendelea.