Ninajivunia kuwa Mwafrika niliyezaliwa katika nchi isiyounganishwa na lugha za wakoloni bali Kiswahili. Kwa hivyo, pamoja na majukumu mengine, ninaamini kwa dhati kabisa kuwa kuchangia ukuaji wa Kiswahili mtandaoni ni wajibu wangu wa kimsingi ili kuwawezesha wazungumzaji wa Kiswahili kujielimisha na kuhabarishwa kwa njia ya mtandao wa intaneti.
makala mpya zaidi zilizoandikwa na Christian Bwaya kutoka Novemba, 2014
13 Novemba 2014
Shiriki Zoezi la Kujifunza Lugha za Asili Mtandaoni

Badala ya zoezi la kuweka mabonge ya barafu vichwani mwao, watetezi hawa wa lugha wamekubali kushiriki zoezi la lugha za asili kwa njia ya video
Waandamanaji Wavamia Ukumbi wa Sinema na Kusema ‘Hunger Games’ Inaendelea Nchini Thailand
Wanafunzi wa ki-Thai jijini London waliandamana nje ya ukumbi uliokuwa unaonesha filamu maarufu ya "The Hunger Games," wakitaka masuala yanayotishia demokrasi nchini mwao yamwulikwe.
5 Novemba 2014
Shindano la Insha GV: Namna Gani Sera za Intaneti Zinaathiri Jamii Yako?

Mradi wa Global Voices Advox unakaribisha wanajumuiya na washirika wengine kutuma insha zinazoeleza madhara ya sera za Intaneti katika jamii za mahali mbalimbali duniani.