Christian Bwaya · Julai, 2009
- Oktoba 2019 1 ujumbe
- Februari 2019 1 ujumbe
- Julai 2018 1 ujumbe
- Juni 2018 2 jumbe
- Mei 2018 1 ujumbe
- Agosti 2017 1 ujumbe
- Julai 2017 4 jumbe
- Juni 2017 1 ujumbe
- Mei 2017 2 jumbe
- Aprili 2017 1 ujumbe
- Machi 2017 8 jumbe
- Februari 2017 5 jumbe
- Januari 2017 5 jumbe
- Disemba 2016 2 jumbe
- Novemba 2016 7 jumbe
- Oktoba 2016 11 jumbe
- Septemba 2016 4 jumbe
- Agosti 2016 1 ujumbe
- Julai 2016 9 jumbe
- Juni 2016 9 jumbe
- Mei 2016 5 jumbe
- Aprili 2016 7 jumbe
- Machi 2016 6 jumbe
- Februari 2016 1 ujumbe
- Disemba 2015 1 ujumbe
- Novemba 2015 6 jumbe
- Oktoba 2015 5 jumbe
- Septemba 2015 1 ujumbe
- Juni 2015 10 jumbe
- Mei 2015 10 jumbe
- Aprili 2015 25 jumbe
- Machi 2015 2 jumbe
- Februari 2015 19 jumbe
- Januari 2015 4 jumbe
- Novemba 2014 6 jumbe
- Oktoba 2014 19 jumbe
- Septemba 2014 21 jumbe
- Agosti 2014 1 ujumbe
- Julai 2014 43 jumbe
- Juni 2014 15 jumbe
- Mei 2014 23 jumbe
- Aprili 2014 44 jumbe
- Machi 2014 57 jumbe
- Februari 2014 34 jumbe
- Januari 2014 6 jumbe
- Disemba 2013 7 jumbe
- Novemba 2013 4 jumbe
- Oktoba 2013 26 jumbe
- Septemba 2013 18 jumbe
- Agosti 2013 2 jumbe
- Julai 2013 12 jumbe
- Juni 2013 5 jumbe
- Mei 2013 20 jumbe
- Aprili 2013 7 jumbe
- Machi 2013 1 ujumbe
- Februari 2013 4 jumbe
- Januari 2013 12 jumbe
- Disemba 2012 14 jumbe
- Oktoba 2012 14 jumbe
- Septemba 2012 2 jumbe
- Julai 2012 10 jumbe
- Juni 2012 11 jumbe
- Mei 2012 1 ujumbe
- Aprili 2012 14 jumbe
- Machi 2012 7 jumbe
- Januari 2012 6 jumbe
- Disemba 2011 12 jumbe
- Aprili 2011 11 jumbe
- Januari 2011 7 jumbe
- Agosti 2010 1 ujumbe
- Julai 2010 1 ujumbe
- Februari 2010 14 jumbe
- Disemba 2009 15 jumbe
- Novemba 2009 8 jumbe
- Oktoba 2009 8 jumbe
- Agosti 2009 1 ujumbe
- Julai 2009 8 jumbe
- Juni 2009 1 ujumbe
- Mei 2009 1 ujumbe
- Julai 2008 1 ujumbe
Ninajivunia kuwa Mwafrika niliyezaliwa katika nchi isiyounganishwa na lugha za wakoloni bali Kiswahili. Kwa hivyo, pamoja na majukumu mengine, ninaamini kwa dhati kabisa kuwa kuchangia ukuaji wa Kiswahili mtandaoni ni wajibu wangu wa kimsingi ili kuwawezesha wazungumzaji wa Kiswahili kujielimisha na kuhabarishwa kwa njia ya mtandao wa intaneti.

makala mpya zaidi zilizoandikwa na Christian Bwaya kutoka Julai, 2009
Kenya: Ukame Uliokithiri Wachochea Mgogoro kati ya Binadamu na Wanyama Pori
Kenya inakabiliwa na ukame mbaya zaidi katika kipindi cha zaidi ya muongo mmoja kwa mujibu wa Idara ya Hali ya Hewa. Ukame huu umeathiri nchi...
Mauritania: Uchaguzi wenye udanganyifu?
Tarehe 18-07-2009, miezi 11 baada ya mapinduzi ya kijeshi yakiongozwa na Jenerali Mohamed Ould Abdel Aziz, Mauritania imemchagua Jenerali huyu kwa Urais, na kusababisha wapinzani...
Nchi za Kiarabu: Homa ya Mafua ya Nguruwe Yaendelea
Homa ya mafua ya nguruwe au H1N1 bado inatawala vichwa vya habari vya magazeti katika nchi za Kiarabu kwani wagonjwa wapya wanaendelea kugunduliwa na mamlaka...
Kameruni: Wanablogu Waijadili Hotuba ya Obama Ghana
Rais wa Marekani Barack Obama alitoa hotuba yake Ghana ambayo inaweza kuchukuliwa kuwa kama hotuba ya sera yake ya Afrika. Wakameruni wa nyumbani na wale...
Afrika: Obama Atumia Nyenzo Mpya za Habari Kuzungumza na Waafrika
“Umeshawahi kutaka kumuuliza kijana wetu wa Nyangoma maswali yoyote? Kwa maneno mengine, je ungependa Rais wa Marekani, Barack Obama ajibu maswali yako?,” ndivyo inavyoanza makala...
Kongo Brazzaville: Uchaguzi wa Rais Wakatisha Tamaa
Siku ya Jumapili, Julai 12, watu wa Jamhuri ya Kongo walipiga kura katika uchaguzi ambao ulisusiwa na viongozi wa Upinzani kwa madai kwamba usingekuwa huru...
Afrika: Wanablogu wamwombolezea Michael Jackson
Barani Afrika, wanablogu wanatoa heshima zao za mwisho kwa Michael Jackson baada ya kifo chake hivi karibuni kwa kutuma picha, video za muziki, mashairi pamoja...
Afrika Kusini: Kuvuvuzela au Kutovuvuzela?
Mjadala kuhusu kifaa maarufu kinachoitwa vuvuzela kinachopigwa na mashabiki wa mpira wa miguu Afrika Kusini umetawala katika blogu mbalimbali duniani tangu kuanza kwa Kombe la...