makala mpya zaidi zilizoandikwa na Mghosya kutoka Julai, 2018
Ungana na Global Voices Julai 9 Kupinga Kodi ya Mitandao ya Kijamii Nchini Uganda
Uhuru unapatikana bure, hautozwi kodi. Global Voices inaunga mkono kampeni ya kupinga kodi ya matumizi ya mitandao ya kijamii nchini Uganda #NotoSocialMediaTax.