Mghosya · Disemba, 2013

makala mpya zaidi zilizoandikwa na Mghosya kutoka Disemba, 2013

Mandela 1918 – 2013

Nelson Mandela, rais wa kwanza wa ki-Afrika wa Afrika Kusini aliyehusika kwa kiasi kikubwa kuutokomeza ubaguzi wa rangi nchini humo, amefariki Alhamisi, Desemba 5, 2013 akiwa na umri wa miaka 95. Mzalendo huyo aliyetokea kupendwa sana na mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, ambaye hujulikana pia kwa jina la...