Ninajivunia kuwa Mwafrika niliyezaliwa katika nchi isiyounganishwa na lugha za wakoloni bali Kiswahili. Kwa hivyo, pamoja na majukumu mengine, ninaamini kwa dhati kabisa kuwa kuchangia ukuaji wa Kiswahili mtandaoni ni wajibu wangu wa kimsingi ili kuwawezesha wazungumzaji wa Kiswahili kujielimisha na kuhabarishwa kwa njia ya mtandao wa intaneti.
makala mpya zaidi zilizoandikwa na Christian Bwaya kutoka Oktoba, 2019
8 Oktoba 2019
Shule pekee ya muziki Zanzibar hatarini kufungwa
Kwa zaidi ya wanafunzi 1,800 waliowahi kupitia mafunzo ya shule ya DCMA, hii ndiyo shule pekee ya muziki wanayoifahamu, ambako wanaweza kujifunza na kukua kama...