makala mpya zaidi zilizoandikwa na Mghosya kutoka Machi, 2014
Mazungumzo ya GV: Heri ya Miaka 25 ya Kuzaliwa, Mtandao!
Kuna tofauti gani kati ya Intaneti na Mtandao? Kwa nini mtandao wazi ni muhimu? Jopo la wataalamu maarufu wa teknolojia na watetezi wa haki wanazungumzia hilo kwenye Mazungumzao ya GV.
Korea Kaskazini: Ni Lini Itaanguka?
Ingawa Korea Kusini inaonekana kutengeneza mahusiano na Korea ya Kaskazini, wataalamu wana wasiwasi kidogo kuhusu kubashiri kuanguka kwa Korea Kaskazini. NKnews.org ilichapisha posti nzuri kuhusu uwezekano wa kutawanyika kwa utawala wa kidikteta, akihitimisha kuwa ‘mageuzi ya kiuchumi ya Pyongyang yanaongeza uwezekano wa tukio la kuanguka vibaya’.
Shule 2,715 Kuunganishwa na Mtandao wa Intaneti Nairobi
Shule 2,715 jijini Nairobi, Kenya hivi karibuni zitaunganishwa na mtandao wa intaneti wa bure: Wanachi Group [kampuni] imefikia makubaliano ya kutekeleza mradi wa thamani ya Dola za Marekani milioni 3 (Takribani KSh milioni 270) na kaunti ya Nairobi, ili kuunganisha shule 2,715 jijini Nairobi na mtandao wa intaneti. Mradi huo...
Teknolojia ya Kiafrika: Mradi wa TechAfrique Watathmini Hatua Iliyofikiwa
Le continent africain apparaît comme la nouvelle frontière mondiale du développement numérique. Ce développement provoque une nouvelle impulsion entrepreneuriale en Afrique, et notamment en Afrique francophone. Mais ce potentiel reste très largement méconnu en Europe ainsi qu'en France. Bara la Afrika linaonekana kuwa kiongozi mpya wa dunia katika maendeleo ya kidijitali. Maendeleo haya yamesababisha kukua kwa ujasiria...
Tangazo la Shindano la Kupata Ufadhili wa Rising Voices 2014
Rising Voices inatangaza kuzindua shindano la ufadhili wa miradi ya kuwafikiwa watu kwa njia ya uandishi wa kiraia. Waombaji wanaweza kutuma mawazo yao kwenye tovuti na kupata mrejesho kutoka kwenye jamii zao wenyewe, kama namna ya kuboresha maombi yao na kushirikiana na wengine. Tarehe ya mwisho kutuma maombi ni Aprili 9, 2014.
Kupunguza Pengo Kati ya Matajiri na Masikini wa Bara la Afrika
"Wengine wanapanda ndege kupata matibabu ya 'aleji', wakati wengine wanatumia mizizi ya mitishamba kwa sababu tu hawawezi kumudu matibabu ya kawaida kabisa ya malariat."
Maandishi ya Facebook Kukosoa Kuivamia Crimea Yamgharimu Mwandishi Ajira
Warusi wanauliza ikiwa Putin anaweza kwenda "kuwavamia" na wao, kama hiyo inamaanisha kuongeza mafungu ya fedha kwa ajili ya majimbo yaliyosahaliwa
Je, Afrika Kusini ni ‘Nchi Iliyokwama'? Ndivyo Alan Dershorwitz Anavyofikiri
Mwanasheria wa Kimarekani na mchambuzi wa mambo ya kisiasa Alan Dershorwitz amewatia hasira Waafrika Kusini kwa kuielezea nchi yao kuwa ni 'nchi iliyokwama' katika mahojiano alyoyafanya na Piers Morgan.
Ukuta Wetu wa Berlin Nchini Syria
"Wanafunzi wa Syria kwa mustakabali bora" ni blogu ya wnafunzi wa Syria wanaofadhiliwa, ambao wanaitumia kujadili matumaini yao, kukumbuka nyumbani, wasiwasi, mashaka, mitazamo chanya na matumaini kwa Syria iliyo bora.
Picha Zilizopigwa Angani Zaonyesha Madhari Nzuri ya Cambodia
Mtayarishaji wa filamu Roberto Serrini alitumia ndege kupiga picha za uzuri adimu wa madhari ya vijijini na mijini nchini Cambodia