Habari kuhusu Kenya kutoka Februari, 2017
26 Februari 2017
Unaweza kupendekeza Washindani wa Tuzo za Blogu Kenya 2017
Tuzo za Blogu Kenya sasa zinapokea mapendekezo kwa ajili ya shindano la mwaka huu. Mapendekezo yanakaribishwa mpaka Machi 10. Wanablogu na mashabiki wanaweza kutuma mapendelezo...
18 Februari 2017
Shindano Dansi la Rais wa Kenya Lakwama Baada ya Wakosoaji Kuliita Dansi ya Aibu
"Wa-Kenya wanateseka na ukame huu na eti tunaombwa tucheze dab #DabYaAibu"
17 Februari 2017
Serikali ya Kenya Yadaiwa Kuwalipa Watumiaji Maarufu wa Mtandao ya Kijamii Kutangaza Habari za “MadaktariWalafi”

Kadri madai ya kuingiliwa kwa mitandao ya kijamii yakiongezeka, viongozi saba wa Chama cha Madaktari nchini Kenya wamehukumiwa kifungo kwa kushindwa kuzima mgomo huo unaoendelea.
12 Februari 2017
Wa-Kenya Wahofia Kuzimwa kwa Intaneti Katika Uchaguzi wa Rais 2017

Kenya would be not the first country in Africa to shut down its Internet during elections -- Uganda and The Gambia have already gone this...