Habari kuhusu Kenya kutoka Januari, 2013
Jukwaa la Kiafrika Lenye Makala za Bure za Kitaaluma
Januari 24, ni siku ambayo inategemewa kuwa ya kuzindua rasmi Hadithi, ambalo ni jukwaa la kuhifadhia zana za bure za kitaaluma mjini Nairobi, Kenya. Wasomi mbalimbali na wadau wa mitandao watakusanyika...