Habari kuhusu Kenya kutoka Julai, 2012
15 Julai 2012
Afrika: Ujuzi wa Matumizi ya Zana za Habari za Kijamii kwa Vijana Wanaoishi na Ulemavu.
Warsha ya vijana walemavu kutoka kote barani Afrika lafanyika Dakar, Senegali. Warsha hii ilipangwa na DRI na YI. Imeandikiwa na Haute Haiku.
7 Julai 2012
Angalia Moja kwa Moja Yanayojiri Sasa Hivi Katika Mkutano wa Global Voices
Mkutano wa Global Voices wa 2012 umeshafunguliwa muda mfupi uliopita katika jiji la Nairobi, nchini Kenya. Tungetamani sana kama ungeweza kujumuika nasi mkutanoni, lakini kama...