Habari kuhusu Kenya kutoka Septemba, 2013
GV Face: Magaidi Wanatwiti? Shambulio la Westgate
Toleo la juma hili la mfululizo wa Mazungumzo yetu ya GV Face kupitia Google Hangout, tunajadili wajibu wa uandishi wa kiraia baada ya tukio la kigaidi la Kenya.
Daktari wa Peru ni Miongoni mwa Waathirika Waliopeza Maisha Westgate
Shirika la Habari la Andina limearifu [es] siku ya Jumamosi, Septemba 21, 2013, kwamba daktari wa ki-Peru Juan Jesús Ortiz ni mmoja wa watu waliuawa katika shambulizi la kigaidi lililotokea katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, lilisababisha idadi ya vifo vya watu 59 na wengine 175 wakijeruhiwa. Hivi ndivyo Periodismo...
Shambulizi la Nairobi Lasababisha Kutengenezwa kwa Zana Mbili za Dharura Mtandaoni
Zana tumizi ya "The Ping" itawasaidia wanafamilia kutafutana haraka wakati wa dharura wakati "Blood Donation Kenya" itasaidia kuoanisha vituo vya utoaji damu na watu wanaojitolea damu.
Namna Shambulizi la Westgate Jijini Nairobi Lilivyojadiliwa Kupitia Mitandao ya Kijamii
Mtandao twita ulikamata taarifa za tahayaruki kuhusiana na shambulio katika muda halisi kile ambacho watumiaji waliripoti awali kuwa ni mlipuko na hatimaye kufahamu ukweli wa kutisha
Mwandishi wa Global Voices Awakumbuka Marafiki Waliouawa Kwenye Shambulio la Nairobi
Shurufu, mwandishi wa Tanzania anayeishi Dar es Salaam, alipoteza marafiki Ross Langdon na Elif Yavuz, waliokuwa wakimtarajia mtoto wao wa kwanza.