Habari kuhusu Kenya kutoka Machi, 2014
Namna Huduma ya Kuhamisha Fedha kwa Njia ya Simu Ilivyobadili Maisha ya Wakenya
Wakenya kwenye mtandao wa Twita wanaeleza namna MPesa, huduma ya kufanya miamala ya kibenki kwa kutumia simu za mkononi, ilivyobadili maisha yao tangu kuanzishwa kwa huduma hiyo miaka saba iliyopita
Shule 2,715 Kuunganishwa na Mtandao wa Intaneti Nairobi
Shule 2,715 jijini Nairobi, Kenya hivi karibuni zitaunganishwa na mtandao wa intaneti wa bure: Wanachi Group [kampuni] imefikia makubaliano ya kutekeleza mradi wa thamani ya Dola za Marekani milioni 3...
Teknolojia ya Kiafrika: Mradi wa TechAfrique Watathmini Hatua Iliyofikiwa
Le continent africain apparaît comme la nouvelle frontière mondiale du développement numérique. Ce développement provoque une nouvelle impulsion entrepreneuriale en Afrique, et notamment en Afrique francophone. Mais ce potentiel reste très largement méconnu en Europe ainsi qu'en...
Mwongozo wa Kilimo cha Uyoga Nchini Kenya
Huu ni mwongozo hatua kwa hatua wa kilimo cha uyoga nchini Kenya: Kutokana na mahitaji ya umma, sisi tulichukua mpango wa kuandaa mwongozo wa kusaidia wakulima wenye nia ya kuanzisha...
Pigia kura Blogu ya Kenya Uipendayo
Zoezi la upigaji kura limeanza kwa ajili ya Tuzo za Blogu nchini Kenya kwa mwaka 2014: Chama cha wanablogu wa Kenya (BAKE) hii leo [3 Machi 2013] kilizindua zoezi la...