Habari kuhusu Uhuru wa Kujieleza kutoka Novemba, 2013
Mwanaharakati wa Misri Alaa Abd El Fattah Akamatwa — Tena
Mwanablogu mashuhuri na mwanaharakati Alaa Abd El Fattah alikamatwa jana jijini Cairo usiku wa Alhamisi. Wanaomwuunga mkono wanahisi amekamatwa kwa kutumia sheria mpya ya kuzuia maandamano.
Iran: Mwanablogu Aliyefungwa Jela Ahitaji Huduma ya Matibabu ya Haraka
Mwanablogu aliyefungwa jela,Hossein Ronaghi Maleki anahitaji huduma ya matibabu ya haraka. Alihukumiwa kifungo cha jela cha miaka 15. Laleh alitwiti Mwanaharakati aliyefungwa jela Hossein Ronaghi yuko katika hali mbaya ya...
Iran: Hukumu ya Jela ya Mwanablogu Yapunguzwa Hadi Miaka 17
“Haki kwa Hossein Derakhshan” blogu ilitangaza mnamo Oktoba 16, 2013 kwamba mamlaka ya Iran imepunguza kifungo cha jela cha mwanablogu wa Iran Hossein Derakhshan (pia anajulikana kama “Hoder”) hadi miaka...
Iran:Raia wa Mtandaoni Wanane Wakamatwa
Mamlaka ya Iran ilitangaza kuwa raia wa mtandaoni wanane ikiwa ni pamoja na mwanamke mmoja walikamatwa katika Rafsanjan, katika Mkoa wa Kerman, kwa madai ya “kutusi utakatifu wa Kiislamu na...
Tamko Kuhusu Mustakabali wa Ushirikiano katika Mtandao wa Intaneti.
Wawakilishi wa mashirika yanayoratibu miundombinu ya kiufundi ya huduma ya intaneti waliokutana huko Montevideo; Uruguay, wametoa tamko kuhusu mustakabali wa ushirikiano katika masuala ya Intaneti [es], ambapo walifanya uchanganuzi kuhusiana...