Habari kuhusu Uhuru wa Kujieleza kutoka Oktoba, 2013
Nani ni Muislamu Halisi? -Hatari ya Madhehebu Madogo ya Waislamu Pakistan
Raza Habib Raja wa Pak Tea House ana maoni haya: ‘Kosa’ kubwa nchini Pakistani ni kuwa kile ninachokiita, Muislamu asiye Muislamu. Kwa hiyo hata ukiwa Ahmedi, Shiite, na hata muumini...