Habari kuhusu Uhuru wa Kujieleza kutoka Juni, 2019
Vyombo Vya Habari Vya Serikali Vinamshambulia Mwanafunzi wa Shule ya Upili Ambaye Aliikosoa Serikali
Nagy amevumilia ukosoaji dhidi ya uelewa wake na hata udhalilishwaji wa kijinsia, wakati ambapo chombo kimoja kinachoiunga serikali kilimtukana matusi ya nguoni.