Habari kuhusu Uhuru wa Kujieleza kutoka Aprili, 2014
Mazungumzo ya GV: Moja kwa Moja kutoka Kombe la Dunia la Mtandaoni
Je, tuna mpango wa utawala wa mtandao wa intaneti duniani? Mazungumzo ya wiki hii yanakujia kutoka kwenye mkutano wa Net Mundial jijini São Paulo, Brazil.
Blogu ya Tunisia Yazindua Jukwaa la ‘Kuvujisha Taarifa Nyeti’
Blogu ya Tunisia iliyowahi kushinda tuzo iitwayo Nawaat imezindua jukwaa lake la kuvujishia taarifa nyeti: Nawaat Leaks.
Mwanablogu wa Iran Aliyefungwa Aandika Barua Kuelezea Anavyoteswa
Mwanablogu anayefahamika kama Siamak Mehr ameandika barua ya wazi kutoka jela anakoishi kwenye chumba kidogo na wafungwa 40. Anatumikia kifungo cha miaka minne kwa kosa la kublogu
Mazungumzo ya GV: “Mtandao wa Twita” wa Siri wa Kimarekani Nchini Cuba
Mpango wa siri wa Marekani wa kubadili utawala nchini Cuba wenye huduma ya ujumbe inayofanana na Twita iitwayo ZunZuneo sasa unaangaliwa kwa mashaka baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa maelfu...