Habari kuhusu Uhuru wa Kujieleza kutoka Oktoba, 2014
Salamu ya ‘vidole vitatu’ Yaleta Matumaini kwa Wanaharakati wa Demokrasia Nchini Thailand
Wahudhuriaji wa mazishi ya afisa wa zamani wa serikali walionesha ishara ya vidole vitatu ambayo inatumiwa na wanaharakati wanaopigania demokrasia nchini Thailand.
Wanablogu wa Brazili Wadai Mgombea Urais Anawadhibiti Wakosoaji wake Kwenye Mtandao wa YouTube
Watumiaji wenye majina na historia inayofanana wamedai haki miliki dhidi ya video mbili za You Tube zinazomkosoa Mgombe Urais wa Brazili Aécio Neves.
Kutangaza Mkutano wa Global Voices, Dar es Salaam, Novemba 2, 2014
Mkutano wa kwanza unaowakutanisha waandishi na watafsiri wa Global Voices na wadau wa Uandishi wa Kiraia hapa nchini unafanyika Dar es Salaam, Tanzania
GV Face: Alaa Abd El Fattah na Maryam Al Khawajah Wazungumzia Mgomo wa Kula, Kufungwa na Harakati zao Nchini Misri na Bahrain
Mamia ya wafungwa wa kisiasa wako kwenye mgomo wa kula nchini Misri na Bahrain.