Habari kuhusu Uhuru wa Kujieleza kutoka Septemba, 2015
Ni Zaidi ya Wanablogu wa Zone9: Wa-Ethiopia Wengine Watumiao Intaneti Wakabiliwa na Mashtaka ya Ugaidi
Sambamba na kesi maarufu sasa ya wablogu wa Zone9, kuna wanablogu, wanaharakati wa mtandaoni na wanasiasa wengine wengi wa ki-Ethiopia waliowekwa ndani ingawa majina yao bado hayajatajwa. Mwaka uliopita mnamo Julai...