Habari kuhusu Uhuru wa Kujieleza kutoka Novemba, 2015
Wanablogu wa Zone9 Wasema, ‘Kushikiliwa kwetu Kumefunua Yaliyojificha Nchi Ethiopia’
"Kwa wale waliotufunga gerezani na ambao walitusababishia madhila haya, hata kama hautuombi msamaha, sisi hatuna kinyongo."
Mwanafunzi wa Irani ‘Awekwa Ndani’ kwa Sababu ya Anayoyaandika Facebook
"Maafisa wa mahakama ...wasiwakamate vijana na kuwapa hukumu kubwa kila wanapokosoa. Kijana wangu alitakiwa awe darasani anasoma hivi sasa."