Habari kuhusu Uhuru wa Kujieleza kutoka Septemba, 2016
Mwandishi wa Habari Jean Bigirimana Bado Hajapatikana katikati ya Mgogoro wa Kisiasa Unaoendelea Nchini Burundi
Serikali kukanusha kushikiliwa kwa Jean kumewaweka marafiki na wafanyakazi wenzake na Jean katika hali hofu kuwa serikali inaweza kuwa inaficha taarifa za alipo au kuhusu kifo chake
Mahakama Nchini Algeria Yaonesha Msimamo dhidi ya Mashtaka ya Mwanaharakati Aliyefungwa kwa Kutusi Uislamu Kupitia Facebook
Pamoja na kuwa adhabu yake imepunguzwa kwa miaka miwili, Bouhafs ataendelea kutumikia adhabu yake gerezani kwa kutumia uhuru wake wa kujieleza.