· Januari, 2013

Habari kuhusu Uhuru wa Kujieleza kutoka Januari, 2013

Hakuna Usalama kwa Waandishi wa Kiraia Nchini Bahrain

Baada ya video ya "kibao" cha polisi wa Bahrain kusambaa sana mtandaoni, Waziri wa Mambo ya Ndani alitoa tamko akiomba kuwa yeyote aliyepiga picha tukio hilo aliripoti haraka kwa mamlaka zinazohusika. Siku mbili baadae, na kinyume na kauli hiyo, watu wengi walishangazwa na kukamatwa kwa mpiga picha.

1 Januari 2013