Habari kuhusu Uhuru wa Kujieleza kutoka Julai, 2016
Karibu Msumbiji, Ukutane na Serikali Inayofunga Kamera 450 Kukufuatilia
Kwa mujibu wa moja wapo ya magazeti yanayoaminika zaidi nchini Msumbiji, Canal de Moçambique, serikali imeanza kufunga kamera 450 za usalama kwenye miji ya Maputo na Matola