Habari kuhusu Uhuru wa Kujieleza kutoka Machi, 2014
Watumiaji wa Huduma ya Tor Waongezeka Nchini Uturuki
Mtetezi wa haki za binadamu na maadili Frederic Jacobs anabainisha kuwa idadi ya watu wanaotumia huduma ya Tor imeongezeka nchini Uturuki: Matumizi ya huduma ya Tor yako juu. Watu. > 35...
Erdogan Aapa “Kuifutilia Mbali” Twita Nchini Uturuki
Uturuki imeufunga mtandao wa Twita -sambamba na huduma ya Google ya DSN, ilitumika kupata huduma hiyo ikiwa imefungwa. Inaonekana, hata hivyo, kuwa mpango wa serikali ya Uturuki wa kudhibiti watu unakutana na mipango mbadala ya raia kuendelea kutwiti.
Mwanablogu wa Misri Alaa Abdel Fattah Aachiwa kwa Dhamana
Furaha imeendelea kutawala wakati mwanablogu maarufu wa Misri Alaa Abdel Fattah ameachiwa kutoka jela. Kwenye twiti yake ya kwanzabaada ya kuachiliwa, mwanaharakati huyo anaapa 'kuendeleza' mapambano.
Maombi ya Mtandao wa WeChat na ‘Self-Media’ kwa Raia wa China
Mitandao ya Tencent’s WeChat, huduma ya ujumbe binafsi kwa namna fulani imechukua nafasi ya mtandao unaofanana kidogo na Twita uuitwao Sina Weibo kama chombo kinachoongoza kwa mawasiliano mbadala. Mtandao wa Tea...
Mazungumzo ya GV: Heri ya Miaka 25 ya Kuzaliwa, Mtandao!

Kuna tofauti gani kati ya Intaneti na Mtandao? Kwa nini mtandao wazi ni muhimu? Jopo la wataalamu maarufu wa teknolojia na watetezi wa haki wanazungumzia hilo kwenye Mazungumzao ya GV.
Maandishi ya Facebook Kukosoa Kuivamia Crimea Yamgharimu Mwandishi Ajira

Warusi wanauliza ikiwa Putin anaweza kwenda "kuwavamia" na wao, kama hiyo inamaanisha kuongeza mafungu ya fedha kwa ajili ya majimbo yaliyosahaliwa
Machafuko Nchini Burundi kabla ya Uchaguzi wa Rais
Angalau kumekuwa na makala 19 ya matukio ya vurugu tangu mwanzo wa 2014 nchini Burundi kabla ya uchaguzi wa rais vituo vya machafuko juu ya marekebisho ya katiba iliyopendekezwa na...
Siku 100 Gerezani Bila Mashitaka: Simulizi la Alaa Abd El Fattah
Mwanablogu mashuhuri wa Kimisri Alaa Abd El Fattah amemaliza siku yake ya 100 jela leo pasipo kufunguliwa mashitaka. Tazama video hii kufahamu kuhusu suala lake na mengine zaidi.
“Iran haiwezi kuufungia Mtandao wa Facebook Milele”
Waziri wa Utamaduni na Ulinzi wa Uislamu wa Iran, Ali Jannati, alisema “Iran haiwezi kuufungia Mtandao wa Facebook milele.” Maofisa kadhaa wa Iran kama Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo...
Iran: Mwanafunzi Ahukumiwa Miaka 7 Jela
Blogu ya PersianBanoo iliripoti kuwa “mwanafunzi mwanaharakati wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Qazvin aliyefukuzwa, Maryam Shafipour amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela. Awali iliripotiwa na familia yake kuwa alikuwa...