Habari kuhusu Uhuru wa Kujieleza kutoka Februari, 2019
Mwanaharakati Raia wa Singapore Ahukumiwa Kifungo cha Siku 16 Jela kwa Kuzungumza na Joshua Wong Kiongozi wa Vijana wa HK
"Hakuna hukumu ambayo ningeweza kuichukulia kama ya haki, kwa sababu hakukuwa na kufunguliwa mashtaka kabisa."
Serikali ya Samoa Yamkamata Bloga Maarufu ‘Mfaume Faipopo’ kwa Tuhuma za Kumkashifu Waziri Mkuu
"Sheria mpya, ambayo imetokana na sheria ya zamani ya maandishi ya kukashfu, tangu ukoloni, imewasukuma viongozi wa Samoa kugeuka na kuangalia nyuma badala ya kuangalia mbele."
#MwachieniAmade: Mwandishi wa Habari Akamatwa na Kuteswa kwa Kuripoti Vurugu Kaskazini mwa Msumbiji.
Mwandishi wa Habari alikamatwa na Polisi wa Msumbiji wakati akiripoti tukio kwenye eneo la Cabo Delgado.
Polisi wa Nigeria Wamkamata Mwandishi wa Habari na Kaka Yake kwa Makala ya Gazeti Ambayo Hata Hivyo Hawakuiandika
"Polisi hawana mamlaka ya kuvamia nyumba za waandishi wa habari na kuwafungia kwa sababu tu kuna afisa wa serikali hapendi kile kilichoandikwa kwenye gazeti."