Habari kuhusu Uhuru wa Kujieleza kutoka Juni, 2009
Irani: Kimbunga cha Maandamano Baada Ya Uchaguzi
Maelfu ya watu waliandamana mjini Tehran, Mashdad na kwenye miji mingine mikubwa ya Irani ili kupinga ushindi wa Rais Mahmoud Ahmadinejad katika uchaguzi mkuu uliofanyika Ijumaa. Washindani wawili wanamageuzi pamoja na mashabiki wao wanasisitiza kwamba palitokea udanganyifu.