Habari kuhusu Uhuru wa Kujieleza kutoka Machi, 2019
30 Machi 2019
Umri Mkubwa, Hotuba Za Chuki Uhuru wa Habari: Ajenda Kuu Katika Uchaguzi wa Rais Nigeria 2019
Katikati ya sintofahamu ya kampeni za uchaguzi wa Naijeria — mitaani na mitandaoni — hapa ni baadhi ya masuala yanayoweza kusahaulika katika uchaguzi wa mwaka...
28 Machi 2019
Jinsi Viongozi Wa Saudia Wanavyotumia Dini Kujiimarisha na Kunyamazisha Sauti za Wakosoaji

''Unyanyasaji ni mfumo wenye mizizi mirefu, na [kwenye nchi yetu] unawezeshwa na dini.''
25 Machi 2019
Wanaharakati Nchini Iraki Wapaza Sauti Kupinga Muswada wa Makosa ya Mtandaoni

Muswada unaeleza hukumu ndefu ya gerezani, ikiwa ni pamoja na kufungwa maisha kwa kufanya makosa yanayohusiana na kuzungumza.
18 Machi 2019
Wanaharakati Watafuta Majibu, Mwezi Mmoja Baada ya Uchunguzi wa Kifo cha Aliyekuwa Mwandishi wa Habari.

Divela aliiambia asasi ya kuwalinda Waandishi (Committee to Protect Journalists) kupitia ujumbe wa WhatsApp kwamba "vigogo nchini Ghana walikuwa wanatafuta namna ya kumdhuru"
11 Machi 2019
Wakati Putin Akihubiri “Uhuru” na Maendeleo ya Teknolojia, Wataalamu Walalamikia Kupotea kwa Uhuru Mtandaoni


Wakati Vladimir Putin akiwaahidi Warusi mtandao wenye kasi zaidi na wa kuaminika, taarifa mbili za makundi ya wataalamu wa kujitegemea waonesha kuzorota sana kwa uhuru...