Habari kuhusu Tanzania kutoka Agosti, 2017
Kupiga Marufuku Wasichana Waliozaa Kurejea Masomoni, Inaweza Isiwe Suluhisho la Mimba Mashuleni.
Rais John Magufuli amezionya asasi za kiraia nchini Tanzania kwa kuwatetea wasichana wanaopata ujauzito kurudi shuleni, akisema kwamba kufanya hivyo 'kutamomonyoa maadili' nchini Tanzania.