Habari kuhusu Tanzania kutoka Disemba, 2018
Kwanini Serikali za Afrika Zinapinga na Uhuru wa Vyombo vya Habari na Kutoa Maoni? Inawezekana Sababu ni Nguvu Kubwa Nyuma Yake

Kelele tunazopiga kwenye majukwaa ya kidijitali zinawaogopesha watawala kandamizi. Kuna visa kadhaa vya watawala kuchukua hatua kuzima kelele hizo.