Habari kuhusu Tanzania kutoka Juni, 2020
Kukifanya Kiswahili kionekane: Utambulisho, lugha na Mtandao
Kiswahili ni lugha ya Kiafrika inayozungumzwa sana, lakini muonekano wake mtandaoni ni finyu zaidi. Mwanaharakati wa lugha kutoka Kenya Bonface Witaba anapambana kubadili hali hii.