Habari kuhusu Tanzania kutoka Disemba, 2013
Soka pekee huigawa Tanzania

Tanzania inajivunia umoja wake wa kikabila na kidini. Lakini siku watani wa jadi wa Dar es Salaam, hisia za mgawanyiko huwa bayana baina ya mashabiki
#Mambo52KuhusuTanzania katika Kusherekea Miaka 52 ya Uhuru
Tanzania Bara ilisherehekea miaka 52 ya uhuru wake tarehe 9 Desemba, 2013. Katika kusherehekea siku hiyo, alama habari ya #Mambo52KuhusuTanzania ilitumika kushirikishana takwimu na mambo halisi kuhusu nchi hiyo.