Habari kuhusu Tanzania kutoka Aprili, 2013
Tanzania: Ghorofa Laporomoka jijini Dar Es Salaam
Pernille anaweka picha mtandaoni zinazoonyesha ghorofa lililoporomoka jijini Dar Es Salaam, Tanzania siku ya Ijumaa, 29 Machi 20013: “Karibu kabisa na jengo hilo kuna uwanja wa kandanda unaotumiwa na watoto....