Habari kuhusu Tanzania kutoka Julai, 2014
Mkataba Uliovuja Waonyesha Hali Halisi Inayoikabili Sekta ya Gesi Nchini Tanzania
Kuvuja kwa mkataba kati ya kampuni ya Norway, statoil na serikali ya Tanzania waonesha hali ya mashaka kuhusiana na suala la mapato kwenye uvunaji wa gesi nchini Tanzania na suala la nani kunufaika na mkataba huo