Habari kuhusu Tanzania kutoka Oktoba, 2015
Wa-Tanzania Wamkumbuka Baba wa Taifa Lao kwa Alama ya #DearNyerere
"#DearNyerere, enzi zako, umaarufu ulitokana na matendo mazuri kwa nchi yako, lakini siku hizi ni idadi ya wafuasi kwneye mitandao ya Instagram na Twita."