Habari kuhusu Tanzania kutoka Mei, 2013
Mfululizo wa Tamthilia ya Runinga ya Nchini Tanzania
The Team Tanzania (Timu Tanzania) ni mfululizo wa Tamthilia ya Runinga yenye kuzungumzia: […] Bi. Wito, mwalimu mahiri wa somo la uraia, anaigeuza kabisa mitazamo ya vijana makinda watatu anapowauliza...
Michoro ya Dar: Sanaa kwa Maendeleo Endelevu
Dar Sketches (Michoro ya Dar) ni sehemu ya mradi unaoanzia ngazi ya Mtaa jijini Dar Es Salaam, Tanzania ulioanzishwa na msanii na mchoraji Sarah Markes: Ni katika kuenzi urithi wa...