Habari kuhusu Uganda kutoka Februari, 2014
Sheria Mpya Uganda: Mashoga Sasa Kukabiliwa na Kifungo cha Maisha Jela
"Siwezi kuelewa wale wanaunga mkono Muswada wa Kupinga Ushoga! Huwezi kupandikiza maoni yako ya ujinsia kwa wengine. Hakuna aliyesema lazima uwe shoga!"