Habari kuhusu Uganda kutoka Oktoba, 2009
Uganda: Wanablogu wa Uganda Wajadili Muswada Unaopinga Ushoga
Muswada ambao utaufanya ushoga kuwa kingyume cha sheria nchini Uganda umewasilishwa bungeni na sasa unasubiri tu saini ya rais Yoweri Museveni. Wanablogu mashoga nchini uganda wanajadili.