Habari kuhusu Uganda kutoka Septemba, 2012
Uganda: Binti awa Mbunge wa Kwanza Mdogo Kuliko wote Afrika
Afrika inachipuka na wanawake wa ki-Afrika wanachipuka nayo. Hivi sasa, Malawi na Liberia zinaongozwa na maraisi wanawake. Sasa nchini Uganda mbunge kinda kabisa kuliko wote barani Afrika amechaguliwa - naye ni Proscovia Alengot Oromait umri wa miaka 19 .