· Novemba, 2009

Habari kuhusu Uganda kutoka Novemba, 2009

Uganda: Ugonjwa wa Panzi Waota Mizizi

  13 Novemba 2009

Wanasiasa wa Uganda wanakuwa kama panzi: “kufuatia hali ya kufikia kikomo kwa tawala nyingi za kiimla, Museveni na washirika wake katika ukaliaji wa mabavu wa Buganda kwa kutumia silaha wanaanza kuwa kama panzi.”