Habari kuhusu Uganda kutoka Februari, 2020
Je, Uganda itazima intaneti kadiri upinzani unavyozidi kuwasha moto kuelekea uchaguzi mkuu wa 2021?
Wakati uchaguzi wa 2021 unapokaribia, kuna uwezekano mkubwa kuwa utawala wa Uganda utaendeleza ukandamizaji wa wapinzani, ikiwa ni pamoja na kufunga mitandao ya kijamii.