Habari kuhusu Uganda kutoka Aprili, 2019
Askari Polisi wa Uganda Wamuua Mtu Kimakosa kwa Kumpiga Risasi Wakidhani ni Kiongozi wa Kisiasa
Habari ya Ronald Ssebulime ni kubwa sana. Kuna habari tofauti kuhusu nani aliyemuua “anayedhaniwa kuwa mshambuliaji”na namna alivyoua. Je haki itatendeka?