Habari kuhusu Ethiopia kutoka Novemba, 2016
Serikali ya Ethiopia Yamshikilia Mwanablogu wa Zone9 Befeqadu Hailu kwa Kigezo cha ‘Hali ya Hatari’
Hailu alitarifiwa kuwa kukamatwa kwake kulisababishwa na mahojiano aliyoyafanya na Idhaa ya Amerika katika lugha ya Kiamfariki kuhusu hali ya hatari iliyotangazwa nchini Ethiopia.