Habari kuhusu Ethiopia kutoka Aprili, 2015
VIDEO: Dunia Inasema #WanabloguZone9WaachiweHuru

Global Voices inakumbuka mwaka mmoja tangu kuwekwa kizuizini kwa wanablogu wa Ethiopia wa Zone9 kwa kutengeneza video hii ya kuwaunga mkono. Sema pamoja nasi: #WanabloguZone9WaachiweHuru!