Habari kuhusu Ethiopia kutoka Machi, 2014
Mwandishi wa Habari wa Ethiopia Reeyot Alemu Amefungwa Jela kwa Siku 1,000
Mnmo Machi 16, 2014, mwandishi wa Ethiopia anayetumikia kifungo jela Reeyot Alemu amemaliza siku yake ya 1,000 akiwa gerezani. Watumiaji wa mtandao wa Twita walionyesha mshikamano naye kwa kutumia alama habari ya #ReeyotAlemu.